Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Kununua kompyuta iwe laptop au desktop huwachanganya watu wengi hasa wasiokuwa na uzoefu wa vifaa hivi maana ukifika dukani utakuta za kila namna na miundo tofauti, nimeona niandike makala hii kuwasaidia wale wanunuaji wapya wapate muongozo ili angalau wanapokwenda dukani wajue wanataka nini. 10. MatumiziUnapotaka kununua kompyuta, jambo la kwanza ni kujua unataka kwa ajili… Read More Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Smartphone: Vitu vya msingi vya kuangalia kabla ya kununua smartphone ya kisasa.

1.Betri:ukubwa wa betri unatagemea na uwezo wake wa kutunza charge hivyo ukinunua smartphone hakikisha ina angalau 3000 mAH na kuendelea. Betri yenye ukubwa huu unaweza kuitumia siku nzima kwa matumizi mchanganyiko bila ya kuichagi.  2.”4G/Lte”.:ni uwezo wa kimtandao wa simu yako ambao unaweza kukusaidia kupakua mpaka 150M mpaka 300MB kwa sekunde na kuangalia hata “HD”… Read More Smartphone: Vitu vya msingi vya kuangalia kabla ya kununua smartphone ya kisasa.