Sayari Nyingine Saba Zagunduliwa,Ni Sawa Na Dunia

Wataalam Wa Masuala Ya Anga Wa Marekani Wakishirikiana Na Wengine Duniani ,Wamefanya Ugunduzi Mkubwa Wa Sayari Saba Zenye Ukubwa Sawa Na Dunia Ambazo Zinaizunguka Nyota Mojawapo Kama Ilivyo Kwa Dunia Kulizunguka Jua. Wanasayansi Hao Wa Anga Za Mbali Kutoka Marekani,Uingereza Na Ubelgiji, Wamebainisha Kuwa Sayari Hizo Saba Walizozigundua Zinaizunguka Nyota Ijulikanayo Kwa Jina La Trappist… Read More Sayari Nyingine Saba Zagunduliwa,Ni Sawa Na Dunia