Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania july 19, Hardnews, Udaku na Michezo
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo July 19, 2019,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzani.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo July 19, 2019,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzani.
Ni miezi mitatu imepita tokea Rapper Nipsey Hussle afariki sasa imeripotiwa kuwa mtoto wa Nipsey, Kross Asghedom aliyezaa na muigizaji Lauren London atapewa kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 2 za Kitanzania kama pesa za uhifadhi ‘Guardianship’ kwenye urithi wa baba yake. Kwa mujibu wa nyaraka zilizohifadhiwa na mtandao wa The Blast umeripoti kuwa mama mzazi wa mtoto huyo Lauren London amefungua faili kwa ajili ya… Read More Mtoto wa Nipsey Hussle na Muigizaji Lauren kurithi Mabilioni
Polisi Temeke imethibitisha kumshikilia Khamisi Luongo kwa kosa la kumuua mke wake Naomi Marijani aliyedaiwa kupotea kwa zaidi ya miezi miwili na picha yake kusambazwa mitandaoni,Luongo amekiri kumuua mkewe kisha kumchoma kwa mkaa magunia mawili na kuyazika majivu shambani kwake. “Baada ya kumuua mke wake na kuuteketeza mwili kwa moto, Luongo alichukua majivu akaweka kwenye… Read More Mume alietangaza Mkewe kapotea akiri kumuua kwa kumchoma kisha kuzika majivu
Leo July 17, 2019 Nakusogezea stori kutoka nchini Marekani ambapo Muuza dawa za kulevya nguli Duniani El Chapo Guzma amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani pamoja na miaka 30, hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Marekani. Mahakama ya Shirikisho New York imemkuta El Chapo na hatia katika makosa 10, ikiwemo kusafirisha dawa za kulevya, utakatishaji fedha. El Chapo alitoroko… Read More Nguli wa dawa za kulevya EL Chapo Guzman ahukumiwa kifungo cha maisha gerezani
Tumezoea kuona challenges tofauti tofauti zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii na watu huzifanya na kuzipost kupitia kurasa zao, sasa imeibuka hii nyingine ya ‘Face Challenge’ ambapo mastaa tofauti wamepost picha na kuonekana wamezeeka. Sio mastaa tu kutokea Tanzania ndio wamejihusisha na challenge hii, ‘Face Challenge’ imeonekana kutawala duniani kote na kuiteka mitandao ya kijamii. Nakusogezea… Read More Nimekusogeza picha 10 za Mastaa wakiwa kwenye sura ya kizee ‘Face challenge’
Serikali imefuta kesi 70 zilizokuwa zinawakabili watuhumiwa mbalimbali waliokuwa kwenye gereza Kuu la Butimba ikiwepo kesi namba moja ya uhujumu uchumi namba moja ya mwaka 2019 ya utoroshaji wa dhahabu inayowakabili askari Polisi wanane mkoani Mwanza. Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustino Mahiga, amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari Jijini Mwanza, leo Jumatano… Read More Serikali imefuta kesi 70 za Watuhumiwa katika gereza la Butimba
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo July 18, 2019,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzani. KUKAMATWA HALIMA MDEE: IGP SIRRO ASEMA “HATUJAZUIA
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo July 17, 2019,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzani.
Wanasayansi Nchini Uingereza Na Malaysia Wanasema Kuwa Wamegundua Mti Mrefu Zaidi Duniani Wenye Urefu Wa Zaidi Ya Mita 100. Mti Huo Wa Kitropiki Aina Ya Meranti Ulipatikana Katika Msitu Wa Borneo Na Kundi Moja Kutoka Chuo Kikuu Cha Nottingham Mwaka Uliopita. Watafiti Kutoka Katika Chuo Kikuu Cha Oxford Walifanya Utafiti Huo Kwa Kutumia Kamera Zisizokuwa… Read More Wanasayansi Wa Uingereza Wamegundua Mti Mrefu Zaidi Duniani
Ilidhaniwa Romeo Ni Chura Wa Mwisho Wa Aina Yake – Kizazi Cha Vyura Wa Majini – Sehuencas. Ameishi Kwa Upweke Kwa Miaka 10 Mpaka Wanasayansi Walipompatia Mchumba Katika Jangwa La Bolivia. Kuchumbiana Kwao Sasa Kunatoa Matumaini Kwa Watafiti Kwamba Kizazi Kitaendelea. Credit BBC SWAHILI